Kanisa Katoliki nchini Tanzania ni miongoni mwa taasisi zilizo mstari wa mbele katika kuzungumzia masuala ya kiraia, kisiasa na kijamii. Wakati nyakati zingine jukumu hili hufanywa kupitia mwamvuli ...